Mzee wa matukio daima kulia akiwa na mwanahabari Anita Boma katika gari kuelekea Arusha kutangaza vivutio vya utalii matukio yote utayapata katika mtandao huu na mingine rafiki ni ziara ya siku 13 kuanzia leo
Wanahabari nguli mkoa wa Iringa wakipata msosi eneo la Ruaha Mbuyuni wakati wakielekea mkoani Arusha kutangaza utalii wa ndani
Mwandishi wa Chanel Ten Clement Sanga kushoto akiwa na mzee wa matukio daima kati na mtangazaji wa radio Country fm wakipata chochote kabla ya kuendelea na safari ya kwenda Arusha kutangaza utalii wa ndani