![]() | ||
Ndugu zangu na wadau wangu wa mtandao wa www.francisgodwin.blogspot.com na www.matukiodaima.com awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya . Awali ya yote ninapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizosambazwa mapema leo kuanzia mida ya saa 4 asubuhi na moja kati ya mitandao ya simu nchini kuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Francis Godwin amefariki dunia aliyefariki dunia ni katibu wa CCM anaitwa Emanuel Mteming'ombe na sio mimi Francis Godwin wao wamechukua katika mtandao wangu na badala ya kuandika chanzo cha habari ni Francis Godwin wameandika mimi ndie niliyefariki dunia Nimepokea meseji na simu nyingi kutoka kwa wadau wangu na ndugu zangu wa karibu hivyo nimeamua kutoa ufafanuzi huu ili kuondoa usumbufu uliojitokeza . Hivyo nawaombeni radhi wote ambao mmeguswa na taarifa hii imetolewa na Francis Godwin mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Free Community Media's 0754 026 299 CHINI wale walioguswa na taarifa hii kupitia pg yangu ya fb
|
↧
WADAU WANGU MIMI NI MZIMA WA AFYA SI KWELI KAMA NIMEKUFA
↧