Mmoja kati ya wauguzi ktk Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa Grolia akimsaidia majerehu God Loid kuingia wodini baada ya kufikishwa Hospitalini hapo na msamaria mwema kulia ambae alimuokota kijana huyo na kumkimbiza Hospital hapo baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa na rafiki wa majeruhi huyo ambae alikimbia baada ya tukio usiku wa leo
wauguzi wakisaidiana kuupatia matibabu mguu uliogongwa ambao umevunjika
wauguzi wakisaidiana kuupatia matibabu mguu uliogongwa ambao umevunjika