Watenda kazi wa ofisi ya Mipango miji katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakiwa kazini kubainisha mipaka ya viwanja katika eneo la Mtwivila leo kama walivyokutwa na kamera yetu , Manispaa ya Iringa imeendelea kujipanga kunusuru migogoro ya ardhi na kuwapimia wananchi viwanja vya gharama poa huku wale wanaojenga bila vibali kuvunjiwa nyumba zao