Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma akifungua kikao cha bodi ya barabara mkoa kinachoendelea katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo
Baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wakiwa ukumbini huku wengi wao wakiwa wamechelewa kuingia
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Ishengoma akifungua kikao hicho kulia kwake ni katibu tawala wa mkoa Bi Wamoja Ayub na kushoto kwake ni Mstahiki meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi