Mkuu wa wilaya ya Mufindi Evarista Kalalu (kushoto) akimpongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Lediana Mafulu Mng'ong'o kwa kutimiza ahadi yake ya Tsh milioni 1 aliyoitoa wilayani Mufindi kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya ujenzi wa Hosteli ya wasichana Kingege kata ya Malangali wilaya ya Mufindi wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Mufindi Peter Tweve na afisa habari mkoa wa Iringa Denis Gondwe
Hapa mkuu wa wilaya ya Mufindi Evarista Kalalu akionyesha kitita cha Tsh milioni 1 kilichotolewa na mbunge Mng'ong'o kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za kumsaidia mtoto wa kike Kielimu wilaya ya Mufindi , kweli wabunge wengine wanapaswa kuiga mfano huu wa kutumia mavuno ya bungeni kusaidia elimu watoto wa kike
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mufindi akimkabidhi mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mufindi fedha hizo .
................Habari kamili itakujia mapema leo.......