$ 0 0 Baiskeli ya kienyeji iliyotengenezwa kwa miti maarufu kwa jina la Kibagadu ama kigereti imeendelea kuwa mkombozi mkubwa kwa jamii ya vijijini mkoani Iringa kwa kutumia kama usafiri katika maeneo yenye miteremko na kubeba mizigo pia