1Like· · Unfollow Post· Share
- Juma Ugweno, Erasto Chengula, Agnes Msenga and 4 others like this.
- Lusajo MwakasegeHiyo sheria ishapitishwa na kuanza kutumika?22 hours ago via mobile· Edited· Like
- Francis GodwinNdio imepitishwa kama sheria ndogo ya usafiri wa mazingira
- Geivan MyovelaNdio hiyo inafaa kabisa kaka ukitaka kutupa ukikumbuka 50000 we lazima uliweke sehem husika hapo penyewe kabisa22 hours ago via mobile· Like
- Lusajo MwakasegeDah..Iringa watu wake wastaarabu na ni watiifu ndo maana hata bila sheria kuwepo still inachukua position za juu kwa usafi..hivyo kama imeanza kutumika,it means kwa ustaarabu wao jamaa hawatachafua ovyo mazingira na wakichafua kwa utiifu wao watalipa hiyo faini bila bugudha..think itapunguza uchafu22 hours ago via mobile· Like
- Steven SengoSafi sana km watalitilia maanan na siyo siasa22 hours ago via mobile· Like
- Ally LibyelaInatosha kabisa mkubwa.22 hours ago via mobile· Like
- Jackson Nyalusikwa kiac fulan itaxaidia me mwenyewe nmeshuhudia kata fulan22 hours ago via mobile· Like
- 22 hours ago via mobile· Like
- Albert Mwindendio tena sanaa2 kaka hata Arusha wanafanya hivyo.
- Seleman WaukweliItasaidia sana Wanaokojoa vichochoroni wajiandae Kupigwa Faini21 hours ago via mobile· Like
- Wito Msafiriitasaidia sana kaka Francis Godwin, nipo moshi na ninaona inavo saidia. hata ninapokuwa nje ya Moshi huwa nadumisha hali ya kutunza mazingira mfano siwezi tupo vocha iliyotumika kwani nahisi kunamgambo wa ki-moshi. ITASAIDIA.
- Msafiri Mohamedisafi sana, hiyo fayini iwe kwa wote sio kwa upande moja2 wengine wanaachwa wenye majina makubwa naamini mji utapendeza sana! vp! wenye viwanda wamewekwa wapi maana hawo ni zaidi kwa kuchafua mazingira!21 hours ago via mobile· Like
- Young Modlle Gwidoyani apo ni pwa safsha jiji cyo mpaka obama@gwidozebest247@gmail.com
- Issack Godfrey· 70 mutual friendsWa quator unity iringa hiyo fain iende samba2 na kutoa elimu madhara ya utupaji ovyo wa takataka20 hours ago via mobile· Like
- Ibrahim Kussaka Mbelwahaitoshi kbs....apewe na kazi ya kufanya usafi kwa siku 2120 hours ago via mobile· Like
- Fadhil LatiffSawa inatosha
- Michael MageheloNdio itasaidia TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE!!19 hours ago via mobile· Like
- Jack JacksonAaa, sana
- David CornSafisana mkoawangu hasa pande za stand kunaviburi sana razima wanyooke?19 hours ago via mobile· Like
- Emmanuel Jeremia Kimeiiyo ndo mwisho wa matatizo?,18 hours ago via mobile· Like
- Leon Mhongoleinatosha na wapiga debe ndo wapewe kazi ya ulinzi mambo yataenda poa pia ndo za taka ziwekwe tena ziakwe rangi ya kuonekana....ustaarabu unalazimishwa....18 hours ago via mobile· Like
- Kibingwasi Abenati Mwinukandiyo itadhibiti wachafu wote ila waweke mapipa ya kutunzia takataka17 hours ago via mobile· Like
- 16 hours ago via mobile· Like
- Gatty Chelsea KinyagaIringa oyeee! yeap tena iwe laki kabisa coz hamsin haitosh.16 hours ago via mobile· Like
- 16 hours ago via mobile· Like
- Samson Bugandame naona hata iyo haitosh ingekuwa hata bilion moja ila wa2 hata wasijambe maana kuj... nako 2nachafua mazngira vilevile...ni hayo 2..15 hours ago via mobile· Like
- Upendo Mkeniitasaidia sn15 hours ago via mobile· Like
- Dassa Mvulaita save kidogo so kivile coz mazingira bado machafu.14 hours ago via mobile· Like
- Debola Chaulaitasaidia xana maana uchafu umezd sana!!!!14 hours ago via mobile· Like
- John Leonardhiyo haiwez kusaidia mm nahis huo ni uvivu wa kufikiri wa viongoz we2 hata hizo taka zikitupwa dampo hua haziendi kumwagwa mi nahis wangeanza na madampo kwanza sio ku2ambia gari la taka bovu mara halina mafuta xaxa wa2 watupe taka wapi wakati dampo zimejaa kama xio barabarani14 hours ago via mobile· Like
- Dennis Ombenitasaidia sana kwa kiasi fulan
- Notsent SangaMimi naona kutakuwa na changamoto kubwa sana inatakiwa elimu sio sheria kari. Idadi ya watu wanapo ongezeka na miundo mbinu mizuri iongezeke. Wangejifunza jiji la mwanza kaka very nice7 hours ago via mobile· Like
- Agastino Alfred MwinukaHIZO PESA ZA FAIN WAWAONGEZE MSHAHARA KINA MAMA WANAOFANYA USAFI PALE MJIN SIO KUWEKA POKET MONEY ZA VIONGOZ.6 hours ago via mobile· Like
- Gatty Chelsea Kinyagatatizo wabongo akili 'F' coz kama pale samora kuna dampo bt unakuta mtu akifika pale anatupa uchafu chini ya dambo badala ya ndani,jaman si uchizi huo?4 hours ago via mobile· Like
- Peter Strangerdaah itasaidia sna.maan wa2 wmejshau.@Dj Petty!!4 hours ago via mobile· Like