WANAOTUHUMIWA kumchafua askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Dk. Odernbarg Mdegela,kwa kusambaza vipeperushi mitaani kwa lengo la kuchafua kanisa na Askofu Dr Mdegella kufikishwa mahakamani leo tena kwa kesi hiyo kuanza kusikilizwa upande wa ushahidi ambapo mtuhumiwa ni Obeid Mtatifikolo na wenzake .
Kesi hiyo itasikilizwa leo katika mahakama ya wilaya ya Iringa kuanzia mida ya saa 3 asubuhi hii