MICHEZO YA RIADHA YA DUNIA YAANZA URUSI
Mashindano ya Riadha ulimwenguni yamefunguliwa hii leo mjini Moscow nchini Urusi.Takriban wanariadha 2,000 kutoka zaidi ya mataifa 200 wanashiriki. Haya ndio ya mwanzo kati ya mashindano matatu...
View ArticleMAREKANI KUPUNGUZA UCHUNGUZI WA MAWASILIANO
Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza mipango ya kupunguza uchunguzi wa mawasiliano ya umma na serikali, wiki chache baada ya mfanyakazi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani, Edward Snowden...
View ArticleMIILI YA POLISI WALIOGONGWA NA KUFA YASAFIRISHWA.
"MIILI ya askari wawili wa Kituo cha Polisi cha mjini Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Konstebo John Mkoma (26) mwenye nambari H1 na Benjamin Justine (27) mwenye nambari G 9696 imesafirishwa...
View ArticleTAARIFA TATA ZA PONDA,VYOMBO VYA NDANI NA NNJE VYATOFAUTIANA.
Sheikh Issa Ponda is understood to have survived the raid and was on the run but injured, police sources told The Daily Telegraph. He had visited Zanzibar in the weeks running up to the attack on...
View ArticleMAKOCHA 32 KUSHIRIKI KOZI YA FIFA COPA COCA-COLA
Makocha 32 kutoka mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani wanashiriki kozi ya Copa Coca-Cola inayoanza kesho (Agosti 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam chini ya Mkufunzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la...
View ArticleHUU NDIO UKWELI KUHUSU SHEKHE ISSA PONDA
KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI...
View ArticleKAULI YA JESHI LA POLISI KUHUSU SHEHKE PONDA KUPIGWA RISASI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NDANIJESHI LA POLISI TANZANIA Anuani ya Simu “ MKUUPOLISI”...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MAKETE AWATAKA WADAU KUENDELEA KUTOA ELIMU YA UKIMWI
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mradi huo ngazi ya wilaya akisikiliza maelezo ya mradi huo kutoka SUMASESU Mkurugenzi wa shirika la SUMASESU...
View ArticleMBUNGE RITTA KABATI ATIMIZA AHADI YAKE KWA VIKUNDI VYA VICOBA ATAKA WANAWAKE...
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati akizungumza na wanachama wa VICOBA ambao walifika kupokea fedha alizokuwa amewaahidi Baadhi ya wanavikundi vya VICOBA Manispaa ya Iringa...
View ArticleMWAKILISHI PEKEE KESSY WA TZ ATOLEWA BIG BROTHER AFRICA
back FezaMshiriki wa Big Brother House Feza Kessy ametolewa muda huu katika mjengo akiwa Mtanzania wa mwisho aliyesalia kwenye nyumba hiyo.
View ArticleSHINING THE SPOTLIGHT ON FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT
Shining the Spotlight on Linda BezuidenhoutLinda Bezuidenhout (LB) is a fashion designer who is based in Atlanta, USA. Linda has been involved in fashion industry for over 20 years, in Africa, Europe...
View ArticleNYUMBA INAYOJENGWA KATIKATI YA MAKABURI YA MTWIVILA IRINGA YAWA NGUNZO IRINGA
Hii ndio nyumba inayojengwa katika makaburi ya Mtwivila mjini Iringa bila kibali cha mipango miji ,nyumba hii imezungukwa na makaburi na mmiliki kaamua kuvamia eneo la makaburi na kujenga...
View ArticleWANAHARAKATI WATOA TAMKO KUJERUHIWA KWA SHEIKH ISSA PONDA ISSA
KWA mara nyingine tena, sisi mashirika ya utetezi wa haki za binadamu, THRD-Coalition, LHRC, SIKIKA, TGNP, CPW na TAMWA tumewaiteni hapa kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu huu kwa wananchi wa Tanzania....
View ArticleWATU WAWILI WAFARIKI DUNIA MBEYA AKIWEMO DEREVA BODA BODA ALIYEUWAWA KINYAMA
Na Esther Macha,wa matukio daima MbeyaWATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti Mkoani Mbeya likiwemo la dereva wa boda boda aitwaye Osward Yohana (17)kuwawa kikatili kwa kukatwa mapanga...
View ArticleZITTO KABWE AELEZA MAMBO YA KUZINGATIWA NA KAMATI ZA BUNGE KTK KUSIMAMIA...
UtanguliziKatika madaraka yote ambayo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaimetoa kwa Bunge kwa mujibu wa ibara ya 63, wajibu wa ‘kuisimamia Serikali’ndio wajibu unaoelezea hasa kazi za Kamati za...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA NDI YA MAREKANI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Canada hapa nchini, Alexandre Leveque, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Agosti 12, 2013. Balozi huyo...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA HATI YA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013(picha na Ikulu)
View ArticlePICHA YA SIKU KUTOKA FB
Mwanadada Jemida Kulanga wa pili kulia akiwa na marafiki zake kati ya moja kati ya picha pendwa kwa siku ya leo kutoka Fb
View ArticleKAMPUNI YA LAJANNE YA DAR YATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA UYOLE
Meneja wa Kampuni inayojishughulisha na kurusha matangazo yanayohusu ligi ya mpira wa miguu ya Tanzania kupitia mtandao, Nzowa Wawila akizungumza juu ya umuhimu wa mtandao huo wakati wa kutoa msaada...
View ArticleNYUMBA INAYOJENGWA KATIKATI YA MAKABURI YA MTWIVILA IRINGA YAWA NGUNZO
Hii ndio nyumba inayojengwa katika makaburi ya Mtwivila mjini Iringa bila kibali cha mipango miji ,nyumba hii imezungukwa na makaburi na mmiliki kaamua kuvamia eneo la makaburi na kujenga...
View Article