kamanda wa UVCCM Iringa vijijini Arif Abri kulia na viongozi mbali mbali siku aliposimikwa kuwa kamanda wa wilaya hiyo
.........................................................................................
HALI si shwari ndani ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Iringa vijijini baada ya kudaiwa kuwepo kwa mpango mkakati mkali wa kuwavua uongozi baadhi ya makada ambao wamedai kuwa si msaada kwao na kuwapa heshima makada wengine mtandao huu wa matukiodaima umedokezwa mpango mkakati huo.
Mbali ya kuwepo kwa mpango mkakati huo wa kuwavua magamba makada wake pia UVCCM umempa siku 60 mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba kujitathimini utendaji wake kabla ya kutoa tamko rasmi la kutokuwa na imani na mkuu huyo wa wilaya .
Iwapo unahitaji kujua zaidi juu ya hali ilivyo ndani ya UVCCM wilaya hiyo ya Iringa vijijini na siri nzito ambayo itaibuliwa dhidi ya watakaovuliwa magamba usikose kutembelea safu hii maarufu kwa siasa za maji taka Tanzania