Uamuzi wa waziri wa maliasili na utalii balozi Khamis Kagasheki kutangaza kujiuzulu na hatua ya Rais Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri wanne akiwemo Kagasheki na wenzake unafikiri linaweza kuwakumbusha mawaziri kuwajibika katika nafasi zao ?