MWENYEKITI wa Kamati ya Maliasili na Mazingira, James Lembeli azidi kuwasha moto bungeni kwa kutaka katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii na watendaji wote wa TANAPA ambao wamekuwa wakitudaiwa kupokea rushwa kwa njia ya mitandao ya simu kuwajibishwa .