Quantcast
Channel: Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2596
↧

NI SIMBA MTANI JEMBE ,EMANUEL OKWI AIFUNGIA YANGA GOLI LA KUFUTIA MACHOZI , SIMBA 3 YANGA 1

$
0
0
Mchezaji  Emanuel Okwi   aliyesajiliwa  hivi karibuni na Yanga  amepata   kuipatia  goli la  kufutia machozi  timu yake  ya Yanga dakika  za lala   salama katika  mchezo  wa  NANI MTANI JEMBE  uliopigwa katika  uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam .

Simba  leo   wameonyesha   kuifundisha  soka  Yanga  baada ya  kutoa  kichapo cha haraka  haraka cha magoli mawili  yaliyofungwa na Hamis Tambwe  kipindi cha  kwanza na kipindi  cha pili  kuongeza  goli la tatu   .

hadi  sasa mpira  umekwisha  kwa Simba  kuibuka bingwa  wa mashindano  ya NANI MTANI JEMBE na  kuchukua  kombe la Nani mtani  jembe 

Huku mashabiki wa Yanga  wakiwarushia chupa  za maji wachezaji  wa simba  wakati  wakishangilia ushindi kwa  kupita karibu  na eneo  lao 
↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2596

Latest Images

Trending Articles