Mkandarasi Geofrey Mungai  kesho ataungana na wadau mbali mbali kulisha chakula watoto yatima wa kituo cha DBL Mkimbizi katika Manispaa ya Iringa kuaanzia mida ya saa 10 jioni wote wenye roho ya upendo mnakaribishwa  kwa mawasiliano ambao mnataka kutoa zawadi kwa yatima hao piga simu ama tuma pesa kwa M- PESA 075362636 na Mungu atakubarikiÂ
Kumbuka mtandao huu na mingine itakurushia moja kwa moja (LIVE) tukio hilo