Quantcast
Channel: Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima::
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2596

HUU NI WAKATI WA KUNUNIANA NA KUCHEKEANA , HALI YA UCHAFU MANISPAA YA IRINGA NI HATARI

$
0
0
Hapa  ni  eneo  la eneo la msikiti wa Hidaya eneo la Frelimo
Hapa ni  eneo la  Frelimo magengeni  ambapo  wananchi wamejiwekea  sheria ya kututupa taka  ovyo
Eneo la Magengeni Frelimo
Hapa ni  jirani na makazi ya  Polisi Frelimo
Hili ni eneo la Hospitali ya  Wilaya ya Iringa Frelimo
Ujumbe mzuri wa  usafi asili  yetu ila bado imekuwa ni kinyume chake
Eneo la Isoka kata ya Mwangata
Eneo la Mlandege kata ya Mlandege
Hapa  ndipo jirani na meya
Eneo la Kisiwani Mlandege  taka  zikiwa  zimetolewa
Eneo la Kijiweni kata ya Mjimwema
Eneo la Mshindo kata ya Mshindo
Mtaa wa ubena Mshindo
Soka  la mashine tatu
Eneo la Makorongoni kata ya Makorongoni
Eneo la Makorongoni uchafu hadi mlangoni
Eneo la Ilala kata ya Ilala
Mkazi  wa Ilala  akiwa jirani na takataka
Eneo la shirika la Nyumba Pawaga Road
Eneo la kuingilia kwa  mkuu wa wilaya ya Iringa Bustani ya Manispaa
Eneo la Kihesa karibu na shule ya  sekondari  ya wasichana barabara ya  kutokea Majembe
Hii  ni moja kati  ya changamoto  kubwa  kwa Manispaa ya  Iringa ambapo  wananchi  wamekuwa  wakiomba  kusaidiwa kubeba taka  hizo  japo kwa  kiasi  wananchi pia  wamechangia kuharibu vyombo  vya kuhifadhia taka kwa  kutupa moto na kupelekea vyombo hivyo  kuharibika ,changamoto nyingine ni magari ya kusombea  taka ambapo zipo taarifa Manispaa ya Iringa imeagiza gari la kisasa la  kusomba takataka japo ombi la wengi ni  kuomba kusaidiwa kuondoa taka taka hizo katika mitaa yao kwani ni hatari  zaidi  kiafya na hofu kubwa kupatwa na magonjwa ya milipuko

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2596

Trending Articles