Mwananchi wa Iringa akipita eneo la posta jirani na gari linalotumiwa kutoa huduma za M-PESA kinyume na sheria
Hawa ni wasajili line ambao wamezuiliwa kufanya shughuli eneo la posta na maeneo mengine mjini Iringa
Hili ni gari ambalo linafanya shughuli za M-PESA langoni mwa Posta Iringa licha ya sheria kuzuia watu kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi
Hawa ndio wanyonge waliochukuliwa meza zao kwa kudaiwa kufanya biashara maeneo hayo ya posta ambayo si rasmi
.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Leo Mgambo wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameendesha msako mkali wa kuwaondoa wauza vocha za simu na wato huduma za kifedha kama M-PESA na mitandao mingine wote waliokuwemo maeneo yasiyo rasmi huku gari hili lililopo eneo la uzio wa Posta mjini Iringa likiendelea kufumbiwa macho , sina shaka na utendaji kazi wa mgambo na mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa ila inanitia shaka kwanini kama ni zoezi maalum la kusafisha mji kwa kuwaondoa wanaofanya kazi maeneo yasiyo rasmi gari hili ambalo nalo lipo eneo lisilo rasmi likiachwa ? ama mnataka kusema sheria ni kwa wanyonge pekee? ama kuna mkono wa kiongozi mmoja kati yenu ? au ndio kusema mgambo hili hamlioni? Sasa safu hii ya Sipendi kuona inatoa muda wa masaa 12 kwa mgambo na mwanasheria wa Manispaa ya Iringa pamoja na wote wanaohusika kusimamia sheria kwa kulitoa gari hili hapa kwani nasema hivi SIPENDI KUONA Sheria ikiwalinda wenye nacho na ikiwakandamiza wanyonge nasema sipendi kuona