Askari wa usalama barabarani mjini Iringa akiwawataka abiria wa basi la King Cross linalofanya safari zake kati ya Iringa - Mkulula Isimani kushuka katika basi hilo baada ya kutaka kutokea ajali mbaya eneo la Miyomboni barabara kuu ya Iringa- Dodoma ikiwa ni dakika mbili pekee toka litoke stendi kuu basi hilo lenye uwezo wa kubeba abiria 47 lilikuwa na abiria zaidi ya 100 pamoja na mizigo hadi mlangoni
Abiria wa basi la King Cross wakishuka katika basi hilo kwa shida baada ya kutakiwa kushuka na askari wa usalama barabarani ,gari hilo lishindwa kukata kona kutokana na uzigo wa mzigo hivyo kulazimika polisi kuingilia kati japo abiria baadhi walionesha kugoma kushuka
Hapa abiria wakiendelea kushuka katika gari hilo chini ya usimamizi wa polisi
Baadhi ya abiria wakiwa wameshuka katika gari hilo huku bado likiwa limejaa ,hawa wote chini walikuwemo katika gari hilo ambalo kwa macho ukiliona ni dogo ila idadi ya abiri walioingia kweli ..hatari kubwa
Umati wa abiria walioshuka katika gari hili lenye uwezo wa kuchukua abiria 47 pekee
Askari polisi mjini Iringa wakishusha abiria katika basi la King Cross linalofanya safari zake kati ya Iringa - Mkulula Isimani wilaya ya Iringa vijijini leo baada ya kujaza kupita kiasi na kushindwa kukata kona kuingia barabara kuu ya Iringa - Dodoma eneo la Miyomboni
Huu ndio umati mkubwa uliokuwepo ndani ya basi hilo ambalo lilijaza abiria kupita uwezo wake pamoja na mizigo ambapo baadhi ya abiria walilazimika kubeba mizigo yao wakiwa ndani ya basi hilo
Hili ni Betrii ambalo lilichomoka baada ya gari hilo kushindwa kukata kona
Mheshimiwa diwani Franzisca Kalinga wa kata ya Malenga Makali (kulia) pia alikuwemo katika basi hilo
Hapa gari hilo likipelekwa polisi chini ya ulinzi mkali wa polisi huku akibiri wakitafutiwa basi jingine zuri .
Subiri kusoma maoni ya safu ya SIPENDI KUONA itakayokujia hivi punde