Askari wa usalama barabarani mjini Iringa ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara mojaakiwa amemkamata mara ya pili mwendesha piki piki mmoja eneo la T.H.B Miyomboni mjini Iringa mchana huu baada ya kijana huyo kukamatwa mara ya kwanza na kutoroka kituoni kijanahuyo alikamatwa kosa la kutovaa Helment na kuendesha piki piki isiyo namba za usajili walakulipa kodi ya aina yeyote kinyume na sheria za usalama barabarani
wewe ni mnjanja kimbia sasa
Hayo ongoza mwenyewe kituo cha polisi japo kamwe sitakuruhu upande pikipiki tena
wewe ni mnjanja kimbia sasa
Hayo ongoza mwenyewe kituo cha polisi japo kamwe sitakuruhu upande pikipiki tena