Mnala wa kijiji uliokuwa ukiheshimika sasa umeshushwa heshima kijiji cha Kibao Mufindi
Maneno mengi yanapoanzia baada ya maisha kuwa magumu kijiji cha kibao
Maduka ya Uhindini kibao Mufindi yaliyofungwa kwa kukosa wateja
Maduka maarufu ambayo kwa sasa yameyumba katika kijiji cha kibao MUfindi
Hii ndio mashine ya mzee Nyaluke ambayo inatumike kwa sasa kijiji kizima ipo kibao
Haya ni majengo waliyokuwa wakiishi wahindi ambayo sasa ni chika mbaya katika kijiji cha Kibao Mufindi Iringa
Hili ndilo duka la ushirika kipindi cha Nyerere ambalo sasa limekufa katika kijiji cha Kibao Mufindi