JESHI HURU LA SYRIA LAPOTEZA KAMANDA WAKE LEO
Kundi la Al-Qaeda nchini Syria leo limemuuwa kiongozi wa waasi wa jeshi huru la Syria FSA, Kamal Hamami na wapiganaji wengine wawili, katika mapigano yaliojiri katika wilaya ya pwani ya Latakia nchini...
View ArticleAIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MIKOA MINNE
Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wahabari (hawapo pichani) kwenye hafla fupi ya makabidhiano ya vyakulavya kufuturisha watoto yatima katika vitu vilivyopo mikoa ya Dar...
View ArticleUN:WAMEUAWA KATIKA MAPIGANO YA KIKABILA KENYA
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu wasiopungua 181 waliuawa, 217 kujeruhiwa na wengine 52 elfu kuwa wakimbizi, kwenye mapigano ya kikabila yaliyotokea nchini Kenya.Ofisi ya kuratibu misaada ya...
View ArticleCRDB KUENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA SACCOS MKOANI RUKWA NA KATAVI
Meneja wa uelimishaji na uwezeshaji wa CRDB MFSCL - HQ Godwin L. Maimu akizungumza na wakufunzi wa mafunzo hayo usiku huoMwakilishi wa CRDB kutoka makao makuu Bw Maimu alisema kuwa CRDB...
View ArticleSACCOS RUKWA NA KATAVI ZAPONGEZA CRDB KWA KUWAWEZESHA
Mgeni rasmi meneja wa CRDB tawi la Sumbawanga Tom Aduwa akimkabidhi cheti mmoja kati ya washiriki Mwakilishi wa washirki wa mafunzo hayo Peter Kasomo kutoka Nkasi Teacher's Saccos akitoa...
View ArticleZOEZI ZA UTOAJI VYETI KWA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA CRDB RUKWA NA KATAVI
Meneja wa tawi la CRDB Sumbawanga akimkabidhi cheti Jonas Raphael (kulia) leo Malietha haule Uwami Saccos manispaa ya Sumbawanga akipokea cheti chake cha ushiri leo
View ArticleMGOGORO NCHINI MISRI WAACHA MASWALI MANNE KWA JUMUIYA YA KIMATAIFA
Hivi karibuni rais wa muda wa Misri Adli Mansour, amechukua hatua mbalimbali ili kumaliza vurugu na kuondoa mvutano uliopo nchini humo. Lakini licha ya juhudi hizo, hali ya usalama nchini humo bado ni...
View ArticleWATU 181 WAMUAWA KATIKA MAPIGANO YA KIKABILA NCHINI KENYA
Watu 181 wameuawa na wengine 217 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea kuanzia mwezi Januari mwaka huu nchini Kenya. Ripoti iliyotolewa na ofisi ya uratibu wa mambo ya kibinadamu ya...
View ArticleVIVUTIO 67 VYA UTALI VYATAMBULIWA KATIKA MKOA WA IRINGA
Dkt. Christine Ishengoma==================================================================================Na Gustav Chahe, IringaVIVUTIO vya 67 vya utalii vimetambuliwa katika Mkoa wa Iringa ambavyo...
View ArticleSWAHILI TV KUTOA TUZO ZA HESHIMA 2013 KWA WANA JUMUIYA WA AFRIKA MASHARIKI NA...
Swahili TV itatoa tuzo za heshima mwaka huu 2013, kwa mara ya kwanza kwa wadau waliojitoa kusaidia jamii zao. Washindi watatoka katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, pamoja na...
View ArticleWAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL
Mchezaji wa timu ya Texas pool klab ya Mkoa wa Tabora Salum Kazuga akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya klab yao iliyofanyika mkoani hapo jana picha na SUPER DMchezaji wa timu ya Texas pool...
View ArticleTANZANIA YAFANYA VIZURI KATIKA NYANJA YA UWEKEZAJI - RIPOTI YA UWEKEZAJI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Juliet Kairuki akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Ripoti ya Uwekezaji ya Dunia ya Mwaka 2013 ambayo imejikita kiundani...
View ArticleKIKOSI KAZI CHA SIPINDI KUONA CHATUA MKOANI RUKWA NA KUCHUKIZWA NA TABIA YA...
Awali ya yote ni pongezi nyingi kwa serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa ujenzi huu wa barabara ya Mbeya - Sumbawanga mkoani Rukwa kweli kazi ni nzuri ila pili nachukizwa zaidi na utamaduni...
View ArticleMKUU WA MKOA WA MBEYA BW:ABBASS KANDORO AMEWATAKA WATAALAMU WA MAJI KUWA NA...
Na Esther Macha, MbeyaWATAALAMU wa maji na mazingira wametakiwa kushirikiana na viongozi ili kuboreshwa vyanzo vya maji na si kuendekeza migogoro ya ardhi ,inayochangia uharibifu wa maziingira...
View ArticleMSANII WA BONGO MOVIE KUTOKA IRINGA,ERASTO KILOWOKO ASEMA ANATAMANI SAJUKI...
Msanii wa filamu toka mkaoni Iringa ,ERASTO a.ka Magumashi,katika hari ya kuonyesha kuwa alikuwa anakubali kile alichokuwa anakifanya Marehemu Sajuki katika tasnia ya Sanaa Nchini Tanzania. Msanii huyo...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUWEKEZA KWA WALIMU WA SOKA NCHINI
Mratibu wa Mafunzo na katibu Gift Mwachang’a kutoka Taasisi ya Hazina Foundation akizungumza na washiriki wa mafunzo ya awali ya ukocha (hawapo pichani) katika ukumbi wa southern Highland nyuma yake...
View ArticleCCM ILEJE YAWEKWA NJIAPANDA SUALA LA MKOA MPYA
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete ...............................................................................................................................................Na Esther...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA IRINGA NI MGONJWA .........
Mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba aliyesimama pichani ni mgonjwa kweli watanzania tunapaswa kumuombea ili afya yake iweze kuimalika kwa sasa amepelekwa katika Hospital ya Taifa...
View ArticleHABARI NJEMA KUTOKA HAMBURG UJERUMANI JUU YA KERO YA MJI JIJINI DAR
Prof. Jumanne Maghembe ( Waziri wa maji ) akisisitiza jambo kwa Petra Hammelman ( Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Tanzania – Hamburg ) baada ya kutoa Hotuba ndani ya jengo la Seneti Hamburg . ( Picha...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA BENKI YA TIB IKULU LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika...
View Article