KARIBU ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE ILIYOPO SINZA LEGHO DAR ES SALAAM.
HABARI NZURI KWA WALE WATEJA WETU VIBONGE aka PLUS SIZE NI KWAMBA MZIGO UMESHAFIKA DUKANI. KWA WALE KAKA ZETU MNAO TAKA RABA ZA MTOKO ORIGINAL CONVERSE, TOMS NA VANS PIA ZINAPATIKANA. WALE WA SIZE...
View ArticleWAZIRI MKUU WA THAILAND AONDOKA BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI
Waziri mkuu wa Thailand Bi. Yingluck Shinawatra (kushoto) akiwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara akiwa ameambatana na mwenyeji...
View ArticleUNIC YAHAMASISHA VILABU VYA KUJISOMEA KWA SHULE ZA MSINGI.
Afisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini (UNIC) Stella Vuzo akielezea jukumu lao kubwa wao kama Unic ni kuelimisha jamii ambapo kwa kufanya hivyo wamehamasika kuanzisha vilabu vya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA KUMUAPISHA RAIS WA IRAN, AGOSTI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Kiislam ya IRAN Mhe. Al-Akbar Hashemi Rafsanjani wakati Makamu wa Rais...
View ArticleKATIBA MPYA : MASASI TANDAHIMBA TUNDURU ,ILEMELA ,KWIMBA NA WALEMAVU ZANZIBAR...
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Walemavu wa Zanzibar, Bi Jide Khamis Saleh, akiwa pamoja na mkalimani wake Bw. Kheri Mohammed Simai, akitoa maoni yake katika Rasimu ya Katiba Mpya mjini Zanzibar hivi...
View ArticleTENGA AMSHUKURU MSAJILI KWA KUSAJILI KATIBA YA TFF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amemshukuru Msajili wa Klabu na Vyama vya Michezo nchini kwa kusajili Katiba ya TFF toleo la 2013 kutokana na marekebisho...
View ArticleMDAU KAYANDA MC AKIWA MAENEO YA KAZI
Kayanda Mc ni mmoja kati ya wanataalum wa habari na uaelimu anayefanyia kazi yake ya ualimu katika shule ya Msingi Mtitu Kilolo na mhariri msaidizi wa mtandao huu wa www.matukiodaima.com
View ArticleWASHIRIKI WA WARSHA YA WADAU WA WATOTO MKOA WA IRINGA WATAKA SHERIA KALI...
Wanaharakati na wadau wa watoto mkoa wa Iringa wakiwa katika mafunzo ya siku mbili yanayoendelea katika ukumbi wa Makbata ya mkoa wa Iringa Mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo...
View ArticleHII NDIO WILAYA YA LUDEWA WILAYA YENYE UTAJIRI MKUBWA WA MADINI ILA MADARAJA...
Mwendesha boda boda akipita katika daraja la mbao wilaya ya Ludewa wilaya yenye utajiri mkubwa wa madini Gari la mbunge wa jimbo la Ludewa Bw Deo Filikunjombe likipita katika daraja la mbao...
View ArticleSI MAJI WALA MAZIWA NI POMBE AINA YA ULANZI IKIPELEKWA SOKONI MJINI IRINGA
Wafanyabiashara wa pombe aina ya ulanzi wakiwa katika usafiri wa Baiskel huku kijana kushoto akikimbia kwa ajili ya kupata ajira ya kusaidia kusukuma baiskel hizo katika milima kwa ujira...
View ArticleHUU NI MWEZI MTUKUFU WADAU MATENDO YETU YAENDANE NA MWEZI MTUKUFU
Napenda kuwatakia waislam wote ramadhan njema
View ArticleWADAU WA WATOTO WAGEUKA MBOGO IRINGA WATAKA WANAOTUMIKISHA WATOTO WABANWE
Watoto hawa wakazi wa wilaya ya Ludewa wakitoka kutafuta kuni kwa matumizi ya nyumbani kama walivyokutwa na karema ya mtandao huu wa www.matukiodaima.com Mtoto akiwa ameachia mdomo wazi...
View ArticleWATOTO MARUKUFU KUSIMAMIA HARUSI-WADAU
Siku wanahabari Frank Kibiki na Tumain Msowoya walivyofunga pingu ya maisha...
View ArticleSIYO KILA MABADILIKO YANA FAIDA ASEMA NAPE NNAUYE
NAPE NNAUYENa Mwandishi wetu ,MWANZAKATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye amesema japokuwa mabadiliko ni muhimu kwa maisha ya binadamu lakini lazima kila yanapohitajika yafanywe kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MARAIS WASTAAFU MZEE MWINYI NA MZEE MKAPA WAALIKWA FUTARI KWA...
sf1: Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefua akimshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjmani William Mkapa na Rais wa Awamu ya nne Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa...
View ArticleWAFUASI WA MDC WADAI KUSHAMBULIWA ZIM
Ushindani ulikuwa mkali kati ya Morgan Tsvangirai na Mugabe katika uchaguzi mkuuSiku moja baada ya Rais Robert Mugabe na Zanu PF kutangazwa kushinda uchaguzi Mkuu nchini humo, baadhi ya wafuasi wa...
View ArticleBALOZI ZA MAREKANI KUENDELEA KUFUNGWA
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani, imesema kuwa balozi zake katika miji 19 ya Mashariki ya Kati pamoja na Afrika, zitaendelea kufungwa hadi tarehe 10 ya mwezi huu wa Agosti. Balozi hizo zitafungwa...
View ArticleMKUU WA MKOA WA IRINGA AFUTURISHA WAISLAMU IKULU NDOGO ,VIONGOZI WA DINI YA...
Waumini wa dini ya Kiislam mjini Iringa wakishiriki futari iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma leoMkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma kulia na baadhi...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR
Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati...
View Article