HABARI NJEMA , CHUO CHA MAFUNZO YA HOTEL NA UTALII CORY TECH KINATANGAZA...
Mazoezi ya vitendo ya kutengeneza keki ,chuis na vyakula mbali mbali kwa wanafunzi hutolewa CHUO CHA MAFUNZO YA HOTEL NA UTALII CORY TECHKILICHOSAJILIWA NA VETA IRINGA KIPO JENGO LA IRINGA NET...
View ArticleMAONYESHO YA NANE NANE VIWANJA VYA NANE NANE MOROGORO
Maziwa bora ya Asas kutoka Iringa ndani ya maonyesho ya Nane Nane MorogoroMaziwa ya Tanga Fresh Makampuni ya simu pia hayako nyuma katika maonyesho Mtangazaji maarufu ya kituo cha...
View ArticleRIPOTI MAALUM YA MASHAMBULIZI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA HII HAPA
BW.SAED KUBENEA MKURUGENZI WA GAZETI LA...
View ArticleBARUA YA WAZI CHUO CHA NURSING NJOMBE
Habari za kazi,Mini ni mwanafunzi wa chuo cha Nursing Njombe kwa kweli tunapata shida hasa upande wa chakula. Asubuhi tunapata chai ya rangi na chakula cha mchana tunakipata saa 9 jioni na ni makande...
View ArticleRUKSA 3PILLARS KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
Timu ya 3Pillars Football Club ya Nigeria sasa inaruhusiwa kucheza mechi za kirafiki nchini baada ya kupata idhini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nigeria (NFF).Awali tuliikatalia timu hiyo kucheza...
View ArticleMHASIBU WA TARWOC IRINGA ASHINDA NYUMBA YA AIRTEL YATOSHA
Wafanya kazi wa kituo cha TARWOC kituo ambacho kimetoa mshindi wa nyumba za Airtel Yatosha Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando akiongea wakati wakuchezesha droo ya kwanza ya kumsaka...
View ArticleMAONYESHO YA NANE NANE YAZIDI KUPENDEZA DODOMA , BANDA LA OFISI YA WAZIRI...
Maonyesho ya Nane Nane yaendelea kupendeza mjini Dodoma ambapo wananchi mbali mbali wameendelea kutembelea mabanda ya maonyesho huku banda la ofisi ya waziri mkuu likiendelea kuvutia...
View ArticleCCM BADO INA IMANI KUBWA NA TUME YA KATIBA ASEMA NAPE
Nape NnauyeNA MWANDISHI WETUCHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) kimesema bado kina imani na Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, katika mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya.Imesema licha ya CCM...
View ArticleHII NDIO PICHA YA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA NCHINI
Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi ambae ni msajili mpya wa vyama vya siasa siku alipoapishwa kuwa jaji na Rais Jakaya Kikwete kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
View ArticleTASO YAIVIMBIA SERIKALI
Na Esther Macha, MbeyaWAKATI sikukuu ya wakulima ya nane nane ikiwa imekaribia kufikia kileleni kumeibuka mgongano baina ya Chama cha wakulima (TASO)na serikali kuhusu maadhimisho hayo yafanyike...
View ArticleAUAWA KIKATILI KWA WIZI WA DEBE TATU ZA MAHINDI
Na Esther Macha, MbeyaMKULIMA wa Kijiji cha Ikumbi Songwe wilaya ya Mbeya vijijini Nasibu Matinya (25) ameuwawa kikatili kwa kupigwa mawe na mapanga ,fimbo kisha kuchomwa moto baada ya kuiba mahindi...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na baadhi ya wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2013. Kushoto ni Naibu Waziri wa...
View ArticleWAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU WAIBUKA KINARA KATIKA KUNDI LA WIZARA ZA...
WAKISHANGILIA KWA FURAHA BAADA YA KUTANGAZWA WASHINDIWAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJAWafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifurahia Kombe baada ya kuibuka mshindi wa Kwanza katika Kundi la Wizara za...
View ArticleWAKULIMA WATAKIWA KUANZISHA KILIMO CHA MITI HALIMASHAURI ZALAUMIWA KUTO...
Na Esther Macha,Mbeya SERIKALI Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa imewaasa wakulima nchini kuanzisha kilimo cha miti ikiwa ni moja ya zao la biashara linaloweza kuwaingizia kipato kwa muda mrefu badala...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU JOHN B. VAGINGA
MZEE JOHN B. VAGINGA07/08/2008—07/08/2013Leo miaka mitano kamili tangu ulipoondoka ghafla duniani na kurudi kwa Baba kwenye pumziko la milele.Pamoja na...
View ArticleSHUSHO NA KILAHIRO KUWASHA MOTO WASHINGTON DC WIKIENDI HII
Watumishi wa Mungu Christina Shusho na Upendo Kilahiro, mwishoni mwa wiki hii watahudumu katika jiji la Washington DC na Vitongoji vyake (DMV).Shusho na Kilahiro ambao ni miongoni mwa waimbaji mahiri...
View ArticleUZINDUZI WA MUFINDI SCHORLASHIP PROGRAMME -LIVE
Baadhi ya wanafunzi waliochanguliwa kuingia katika mpango wa ufadhili wa shirika la Shalom na MUYODESA baada ya kufanya vema mitihani ya kunying'anyiro cha kuingizwa katika mpango wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM MKOA WA IRINGA JESCA MSAMBATAVANGU AYAPONGEZA MASHIRIKA LA...
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Jesca Msambavangu ameyapongeza mashirika yasiyo ya kiserikali ya MUYODEA NA Shalom kwa kusaidia kusomesha watoto zaidi ya 80...
View ArticleJESHI LA POLISI LAJIPANGA KUKABILIANA NA UHALIFU WA KISASA
Mkurugenzi wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes (T) Ltd, Max Komba (wapili kulia-waliosimama), akikagua uchimbaji mtaro kwa ajili ya kutandika nyanya za mfumo wa mawasiliano kwenye kituo cha Polisi...
View Article