MKURUGENZI WA MABASI YA NDENJELA AWAFUNDA WAUMINI WA DINI KUACHA TAMAA
Na  Esther Macha,wa matukiodaima.com MbeyaWAUMINI wa madhehebu ya kikiristo Mkoani Mbeya wametakiwa  kutokuwa natamaa  ya fedha za mafisadi  kwani matokeo ya fedha hizo ni  kuwagawawaumini  katika...
View ArticleUTENDAJI HUU WA WAZIRI DR MWAKYEMBE NI UKOMBOZI KWA TAIFA KATIKA VITA DHIDI...
Na Esther Macha,wa matukiodaima.com MbeyaUTENDAJI wa kazi wa waziri wa uchukuzi ,Dkt.Harrison Mwakyembe umekuwa gumzo katika maeneo mbali mbali nchini huku  asilimia kubwa wananchi ikisubiri orodha...
View ArticleMWALIMO WA KUHUDHURIA TAMASHA LA JINSIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TGNP
 TGNP mtandao ni asasi isiyo ya kiserikali yenye lengo la kupigania haki za kijamii, usawa wa jinsia, kukuza uwezo wa wanawake, na kubadilisha mifumo kandamizi kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na...
View ArticleKUTOKA VIKAO VYA CCM DODOMA: SIXTUS MAPUNDA ACHUKUA MIKOBA YA SHIGELA UVCCM,...
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikaocha NEC, mjini Dodoma leo mchana. Kushoto ni Katibu Mkuuwa CCM Abdulrahman Kinana.BASHIR NKOROMO, DodomaHALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
View ArticleTAARIFA KAMILI YA KUUNGUA KWA SHULE YA SEKONDARI KIBAO
Mbunge KigolaMOTO mkubwa ambao chanzo bado kufahamika meteketeza jengo la utawala katika shule ya Sekondari ya Kibao iliyopo jimbo la Mufindi kusini wilayani Mufindi mkoa wa Iringa Wakizungumza...
View ArticleCCM KWAWAKA MOTO MMOJA ATIMULIWA UANACHAMA
Nape Moses Nnauye,TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyomalizika leo imejadili kwa kina Masuala mbalimbali likiwemo pendekezo la...
View ArticleRAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia Msajili wa Vyama vya Siasa mpya...
View ArticleWATALII WA NDANI WAZIDI KUONGEZEKA HIFADHI YA MIKUMI
 Hawa ni watalii wa ndani ambao leo wametembelea hifadhi ya Taifa ya Mikumi,kasi ya watalii wa ndani ya nje kutembelea hifadhi za Tanzania imezidi kuongezeka Hapa ni hifadhi ya Mikumi leokaribuni...
View ArticleKAIMU MKURUGENZI KILOLO ANUSURIKA AJALI BAADA YA GARI LAKE KUGONGWA
 gari la kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo ambalo leo limegongwa ubavuni eneo la Miyomboni mjini Iringa Hili ndilo gari lililosababisha ajali hiyo  kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya...
View ArticleMATUKIO ZA MKUTANO WA AMANI IRINGA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO.
 Amiri na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Ahmmadiyya Tanzania Ndg,Tahir Mahmood Choudhry akimkaribisha mkutanoni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Cristina Ishengoma. Mkuu wa Mkoa Iringa Mh....
View ArticleKAMATI KUU YA CCM YATENGUA KUFUKUZWA UANACHAMA MADIWANI WANANE HALMASHAURI YA...
DODOMA,TanzaniaPamoja na kubatilisha uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kagera wa kuwafukuza uanachama wa CCM, madiwani nane wa katika Halimashauri ya Bukoba mjini kwa utovu wa nidhamu, leo...
View ArticleMAANDALIZI MKUTANO WA UCHAGUZI TFF
Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaendelea na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi utakaofanyika Oktoba 26 na 27 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Awali mkutano wa uchaguzi...
View ArticleWANAWAKE WA KIJIJI CHA NJELENJE MBEYA WALIA NA UHABA WA MAJI
Na Esther Macha wa matukiodaima.com MbeyaWANAWAKE wa kijiji cha Njelenje Kata ya Mshewe Wilaya ya Mbeya wamesema kuwa ukosefu wa maji katika kijiji hicho,umepelekea wanafunzi wanaosoma shule za msingi...
View ArticleWAJAWAZITO NJELENJE WAWASHUKIA WAUGUZI KWA KUWATOZA TSH 5000 WAKATI WA...
Na Esther Macha wa matukiodaima.com Mbeya  WANAWAKE wajawazito katika kijiji cha Njelenje kata ya Mshewe Wilaya ya Mbeya  ,wamelalamikia wauguzi wa Zahanati ya Njelenje kuwatoza kiasi cha sh.5000...
View ArticleWAUMINI WA KANISA LA SABATO MBEYA WAONYWA
Na Esther Macha,wa matukiodaima.com MbeyaWAUMINI wa madhehebu ya makanisa ya wasabato Jijini Mbeya wametakiwa kuacha tabia ya kunung’unika pale wanapojitoa kwa ajili ya kusaidia shughuli mbali mbali...
View ArticleRASIMU YA TATIBA MPYA ,MUUNDO WA SERIKALI WAWAGAWA WAJUMBE IRINGA
 Mzee Kuzugala akichangia maoni yake juu ya Rasmu ya katiba mpya  washiriki wa mdahalo huu wa rasmu ya katiba wakisoma rasmu ya katiba leo  Wakili Bw Jackson A. Chaula akiendesha mdahalo...
View ArticleNAPENDA KUWASHUKURU WOTE WANAONIUNGA MKONO KATIKA UJENZI SAFARI IMEANZA
 Hili ndilo eneo la ujenzi  Hii ndio hatua iliyopo kwa sasa katika eneo la ujenzi Huu ndio mwenekano wa kakibanda kangu katika ramani hii kama inavyoonekana Hivi ndivyo ramani ilivyo Napenda...
View ArticleBONDIA MMAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA KUMKABILI CHEKA IJUMAA HII
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30...
View ArticleMSTAHIKI MEYA WA ILALA MH. SILAA ATOA SOMO KWA VIJANA JINSI WANAVYOWEZA...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chimbo School of Thought ambaye pia ni mtangazaji wa redio Clouds na TV Harris Kapiga wakati...
View ArticleWAWEKA PINGAMIZI WAGONGA MWAMBA TFF
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeshindwa kusikiliza pingamizi mbili zilizowasilishwa mbele yake dhidi ya waombaji uongozi wawili baada ya kukosa sifa kwa mujibu wa...
View Article