Wafanmyakazi na uongozi wa mtandao huo na kampuni nzima ya Freecomunity Midia's waendeshaji wa mtandao wa www.matukiodaima.com,FrancisGodwin Blogu,www.shwari.com ,www.francisgodwin2004.wordpress.com tunapenda kuwatakia heri ya Krismas na mwaka mpya wa 2014 wadau wetu wote pale mlipo. Rai yetu tunaposherekea sikukuu hizo tunahitaji kuwa makini kwa fedha na wale wanaotumia vyombo vya moto kuchukua tahadhari ila kwa wale wanaotumia kinywaji tunywe kiasi . Pia tunapenda kuwaomba radhi wadau wetu kwa mapungufu yote ambayo yalipata kujitokeza kwa mwaka huu ,tunaomba radhi pia pale tulipokukwaza tunaomba kusamehewa mapungufu hayo kwa mwakani tutayafanyia kazi .  Bila kuwasahau wadau mbali mbali waliotuunga mkono kwa kujitangaza nasi tunaomba tuzidi kushirikiana daima Imetolewa na Francis Godwin mkurugenzi mtendaji wa Free comunity Media's 0754 026 299 |
↧
HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA 2014
↧