WADAU TAZAMENI STAR TV SASA KUNA MNYUKANO MKALI KATI YA NAPE NA MTATILO
MADA  inayojadiliwa  ni baada ya  uteuzi  wa  mawaziri  wanne  kutenguliwa  tutegemee  nini katika  serikali ? kuna lugha  gongana  zinaendelea  hapo  kati ya NAPE (CCM) Mtatilo (CUF) Pia  waweza...
View ArticleMATOKEO MAZURI YA UFAULU SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA YALIVYOIVUTIA...
  Mkurugenzi  wa shule  ya kimataifa  ya  Southern Highlands Mafinga  Bi Mary  Mungai akimkabidhi  cheti mmoja kati ya  wahitimu wa mahafali ya 13  shule  hapo ,kulia  kwake ni kaimu meneja  wa Benk ya...
View ArticleSERIKALI IRINGA KUWACHUKULIA HATUA KALI WAFANYABISHARA WATAKAO PANDISHA BEI...
                               RC Iringa Dr Christine IshengomaMkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma ametuma salama kali za Krismas na Mwaka mpya kwa  wafanyabiashara...
View ArticleMKANDARASI GEOFREY MUNGAI ACHUMA BARAKA ZA YATIMA ,AWAPA SOMO MAKANDARASI...
Mkandarasi Geofrey Mungai kushoto akila chakula na watoto yatima wa kituo cha DBL mkimbizi sanjari na mganga Oscar Gabone kulia.MKANDARASI Geofrey Mungai ameendelea kujitolea...
View ArticleGEOFREY MUNGAI ATOA ZAWADI ZA TSH MILIONI 2.5 KWA YATIMA WA KITUO CHA DBL KWA...
Bw Mungai akizungumza na mlezi wa kituo hicho cha DBL Mchungaji Neema Mwaisumbi mara baada ya hafla hiyo Mmiliki wa Hotel ya M.R Bw Luvinga akipongeza jitihada za Bw Mungia katika kusaidia...
View ArticleUSIKOSE KUSIKIA KAULI YA FAMILIA YA WAZIRI WA FEDHA JUU YA UVUMI WA KIFO...
 Mh.Dr Wiliam Mgimwa..............................................................Mpendwa mdau wa mtandao  huu leo mtandao huu utakueletea kauli sahihi ya familia juu ya taarifa  sahihi ya...
View ArticleMTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MBONI SHOW KULISHA YATIMA IRINGA
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Mboni Show kinachorushwa na kituo EATV Bi Mboni A .Masimba anataraji kula sikukuu ya Krismas na mwaka mpya na watoto  yatima mkoani Iringa .  Akizungumza na...
View ArticleSIKU YA FAMILIA YA WANA SPANEST YANONGA IRINGA
 Wafanyakazi wa SPANEST na familia zao wakicheza muziki baada ya mnuso  Wafanyakazi wa APANEST Iringa wakiwa na familia zao jana  Keki ya wana familia   Wadau mbali mbali na familia zao...
View ArticleAIRTEL , BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA WAKATI HUU WA SIKUKUU
 Balozi wa kampeni za Usalama barabarani, Bw. Athumani Hamisi akizungumzia athari zinazotokana na ajali za barabarani na kuwaasa wananchi waziepuke hususani katika msimu huu wa sikukuu.Meneja wa huduma...
View ArticleZITTO KABWE -NITAPAMBANA KUTETEA UANACHAMA WANGU
Kwa upinzani ni lazima tufanye tofauti na CCM. Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma kwa upinzani ni mbaya zaidi kuliko. Hivyo uwajibikaji kwa wote bila kujali vyama. Uwajibikaji sio msamiati kwa...
View ArticleCHOLAGE AFUNGA SEMINA YA UVCCM MABIBO, WAMKABIDHI PICHA ZA NAPE, DK. FENELLA...
 MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mabibo, wilaya ya Kinondoni, Zakaria Kimemeneki (kulia), akikabidhi zawadi ya picha ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, kwa Katibu wa...
View ArticleBREAKING NEWSSSSSS WAZIRI WA FEDHA DR MGIMWA HAJAFARIKI DUNIA -FAMILIA
                                                    Waziri wa fedha Dr Wiliam Mgimwa  Mdogo wa waziri Dr Mgimwa  Bw Joachim Mgimwa...
View ArticleBOMU LA UFISADI LALIPUKA MANISPAA YA IRINGA ,VIJANA WADAIWA KUKUSANYA MAPATO...
wananchi  wakitazama gari la mmoja kati ya wafanyabiashara mjini Iringa ambalo lilifungwa mnyololo na vijana hao wa kusimamia sheria ya maegesho na kusababisha gari hilo kutoboka taili...
View ArticleTUNAWATAKI HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA 2014
Wafanmyakazi na uongozi wa mtandao huo na kampuni nzima ya Freecomunity Midia's waendeshaji wa mtandao wa www.matukiodaima.com,FrancisGodwin Blogu,www.shwari.com...
View ArticleHERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA 2014
Wafanmyakazi na uongozi wa mtandao huo na kampuni nzima ya Freecomunity Midia's waendeshaji wa mtandao wa www.matukiodaima.com,FrancisGodwin Blogu,www.shwari.com...
View ArticleHUU NI UCHAFU WA STENDI YA NJOMBE JIMBONI KWA SPIKA MAKINDA
Hali ya stendi kuu ya mkoa wa Njombe ilivyo kwa sasa wakati mvua kubwa ikiendelea kunyesha kweli hii si stendi ni uchafu wa stendi kwani ni mbovu kuliko ikumbukwe kuwa stendi hii...
View ArticleFILIKUNJOMBE , KANISA WATUMA SALAM ZA KRISMAS KWA JK
KANISA la Anglicana  Ilela kata ya Ilela wilaya ya Ludewa mkoani Njombe limetuma salam za krismas na mwaka mpya kwa Rais Jakaya Kikwete kwa kumpongeza kwa kumaliza mgogoro wa mpaka...
View ArticlePAPA FRANCIS ATETEA WANYONGE WA VITA
Katika hotuba yake ya mwanzo ya Krismasi, Papa Francis amezungumza mjini Rome juu ya maeneo ya vita duniani.Alitoa wito kwa pande zote zilizohusika na vita vya Syria ziruhusu msaada kufika kwa...
View ArticleMBONI AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA MKOANI IRINGA KUSHEREKEA SIKUKU YA CHRISMAS
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Mboni Show kinachorushwa na kituo EATV Bi Mboni A .Masimba anataraji kula sikukuu ya Krismas na mwaka mpya na watoto  yatima mkoani Iringa . Akizungumza na...
View Article