Hali ya stendi kuu ya mkoa wa Njombe ilivyo kwa sasa wakati mvua kubwa ikiendelea kunyesha kweli hii si stendi ni uchafu wa stendi kwani ni mbovu kuliko ikumbukwe kuwa stendi hii ipo jimbo la Njombe kusini linaloongozwa na spika wa bunge Anne MakindaÂ
Swali langu kwa mhandisi wa mji wa Njombe na viongozi Njombe hivi hawaoni kero hii na upi mkakati wao wa kutengeneza stendi hii ambayo ni taswira ya mkoa pia spika Makinda anajisikiaji kuwa na stendi mbovu kama hii.
Nipo mjini Njombe kwa dakika zaidi ya 20 sasa nashindwa kushuka katika basi kutokana na mvua kubwa zinazonyesha na ubovu wa stendi hii maji yamejaa kupita kiasi.